MFUMO TIMS KUBORESHA USIMAMIZI WA UWEKEZAJI KULETA TIJA ENDELEVU: KAPINGA
Na Jumanne Magazi
26.06.2025
Dar es salaam
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema mfumo maalum wa kidigitali wa TIMS uliyoundwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) utaongeza uwazi, utaimarisha ufanisi na kuvutia uwekezaji katika sekta ya nishati kwa maendeleo ya T.
Kapinga ameyasema hayo leo Juni 25, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akizindua mfumo huo uliotengenezwa na wafanyakazi wa ndani wa shirika hilo.
Amesema hatua ya kuzindua mfumo huo ni ya muhimu katika kuendelea kuboresha sekta ya nishati kutumia suluhisho za kisasa za kidigitali hivyo anampongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco na timu yake kufanikisha jambo hilo ambalo linakwenda kuongeza ufanisi katika kutekeleza miradi iliyochini ya shirika hilo.

“

Post a Comment