TANZANIA KUNUFAIKA MKUTANO WA SIKU MBILI KUHUSU UHAMIAJI NCHI ZA SADC: SERIKALI
Na Jumanne Magazi
26.06.2025
Dar es salaam
Serikali imesema Tanzania inakwenda kunufaika na Mkutano wa siku mbili wa Viongozi na wakauu wa serikali wa uhamiaji unafanyika nchini kupitiaTeknolojia ya mawasilino simu ya video.
Hayo yamesemwa na karibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi Dkt Maduhu Isaac Kazi nje ya Mkutano huo,unaofanyika jijini Dar es salaam kwa siku mbili kuanzia leo juni 26 Hadi 27.
Maduhu amesema ni muda sasa umefika kwa jamnii yoote kupitia nchi Wanachama kunufaika na jumuiya ya nchi matunda ya jumuiya hiyo hususani maswala ya kiusalama, wa mipaka na usalama wa bahari na bahari kuu.
Aidha Dkt Maduhu amesema usalama ni jambo mtambuka ambalo nchi Wanachama Wana jumuiya hiyo, wanawajibu wa kuilinda lakini pia kunufaika kwenye sekta ya uchumi hususani bahari kuu kibiashara, ikiwemo uvuvi mafuta na gesi Asilia
sambamba na hayo Mkutano huo pia umegusia maswala yahusuyo ulinzi wa mipaka katika maingiliano baina ya wananchi wa nchi wanachama, pia kuzuia uhalifu pamoja na uharamia wa mipakani
Vile vile Mkutano huo pia umegusia maswala yahusuyo ulinzi wa mipaka katika maingiliano baina ya wananchi wa nchi wanachama, pia kuzuia uhalifu pamoja na uharamia wa mipakani na majini amesema Dkt Maduhu.
Vile vile Mkutano huo pia umegusia maswala yahusuyo ulinzi wa mipaka katika maingiliano baina ya wananchi wa nchi wanachama, pia kuzuia uhalifu pamoja na uharamia wa mipakani na majini amesema Dkt Maduhu.
Post a Comment