ASHA HASSAN MOHD: ATAMANI UDIWANI VITI MAALUM KATA YA MSASANI JIMBO LA KAWE

Na Jumanne Magazi 

30.06.2025

Dar es salaam 

Asha Hassan Mohammed amejiweka rasmi kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania UDIWANI KATA ya MSASANI ndani ya Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi ujao.

ASHA alichukua fomu hiyo katika ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es salaam, mbele ya viongozi wa chama hicho

Asha MOHD, anajiunga na orodha ya wanachama wa CCM wanaowania ridhaa ya kugombea udiwani kupitia chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu, huku Jimbo la Kinondoni likitarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na mvuto wake wa kisiasa

 

Powered by Blogger.