HEMED NKUNYA: ARUDISHA FOMU YA UBUNGE ,JIMBO LA KAWE
Na Jumanne Magazi
30.06.2025
Dar es salaam
HEMED Nkunya amejiweka rasmi kwenye kinyang’anyiro cha ubunge kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao mwaka huu.
Nkunya amerudisha fomu hiyo katika ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es salaam, mbele ya viongozi wa chama hichoHEMED Nkunya anajiunga na orodha ya wanachama wa CCM wanaowania ridhaa ya kugombea ubunge kupitia chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu, huku Jimbo la Kawe likitarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na mvuto wake wa kisiasa
Tayari watia nia na makada kadhaa, wameendelea kuchua na kurudisha FOMU kwa ajili ya kinyanyiro Cha uchaguzi mkuu wa Rais,Ubunge,madiwani unataraji kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Post a Comment