"MAGIFT YA KUGIFT" YANAVYOWAPAGAWISHA WATANZANIA

Na. Jumanne Magazi 

Kampuni ya Mawasiliano ya Yas Tanzania Leo hii Januari 17.1.2025, imekabidhi zawadi kwa washindi wa  PromosheI ya "Magift Kugift droo 10 2025.

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo kwa washindi wiki hii Bi Mwangaza Matotola amesema wanayofuraha kuwapatia washindi hao wa wiki hii na pia amewaomba watanzania kuendelea kutumia huduma za kampuni yao ikiwa ni pamoja na  kufanya miamala.

Kampuni ya YAS Tanzania imekuwa Ikiendesha promosheni hiyo, kwa muda WA wiki 12 ambapo hadi kufikia Leo zaidi ya kiasi cha Shilingi Zaidi ya mil. 300 sasa zimeshatolewa zikienda kwa  washindi mbalimbali  sambamba na zawadi hizo zikiwemo simu za mkononi.

Kwa upande wake mmoja wa washindi wa milioni Moja 1 wa wiki hii Patrick Daniel Manimba, amesishukuru Yas kwa kuchezesha kampeni hiyo kwani imekuwa ikisaidia kuwapatia zawadi wateja wake ikiwemo pesa taslimu na zawadi nyingine.

Naye Bi Husna ali  Mwinyi amesema yeye ameibuka mshindi na hatimaye kipigiwa simu baada ya kufanya miamala mara kwa mara jambo lililopelekea kuibuka mshindi hivyo amewataka watanzania wengine kutumia mtandao wa Yas Tanzania kwani ni mtandao wenye huduma Bora na pia.

PROMOSHENI ya Magift ya Kugift ni ya ukweli na uwazi na kuwa kila mtu anaweza kushida.

Yas ambayo zamani ilikuwa ikijulikana kama TIGO Tanzania imeendelea kujitokeza sifa nyingi ndani na Nje ya nchi ikiwa Sambamba na kupata Tuzo ikiwemo ile ya OOKLA.

Kampuni ya YAS Tanzania imekuwa Ikiendesha promosheni hiyo, kwa muda WA wiki 12 ambapo hadi kufikia Leo zaidi ya kiasi cha Shilingi Zaidi ya mil. 178 zimeshatolewa zikienda kwa  washindi mbalimbali  sambamba na zawadi hizo zikiwemo simu za mkononi.



 

Powered by Blogger.