DKT. BITEKO AZITAKA WIZARA, TAASISI NA WAKALA SERIKALINI KUTENGA BAJETI YA KUTOSHA - SHIMIWI
Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na kuleta tija.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan kufungua mshindano ya 38 ya SHIMIWI Yanayoendelewa Mkoani Morogoro ambapo amesema hatopenda kusikia visingizio vya aina yoyote kutoka kwa wale wasiotuma washiriki.
Samia Suluhu Hassan kufungua mshindano ya 38 ya SHIMIWI Yanayoendelewa Mkoani Morogoro ambapo amesema hatopenda kusikia visingizio vya aina yoyote kutoka kwa wale wasiotuma washiriki.
Post a Comment