TUME YA TEHAMA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA CHUO KIKUU CHA FINLAND KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO YA TEHAMA
Tume ya TEHAMA Tanzania I,CT imeanzisha ushirikiano wa kitaaluma baina Yao na chuki kikuu cha TUKU university of applied science cha Nchini Finland.
Vilevile ameesem baada ya kufanya utafiti wamekubaliana kufanya ushirikiano na chuo hicho kwani wamekuwa Bora katika ufundishaji hususani Sekta ya Mawasiliano hasa tehema.
Katika hatua nyingine Mshahuri mbobezi WA ugunduzi wa kidijiti Dkt George Mula Mula kwa upande wake Ameishukuru Serikali kwa jitiahada kubwa inayofanya katika kukuza taaluma na wataaalamu WA Tehama na ndio maana umeamua kuleta wataaalamu Kutoka Nje ili kusaidia Ubunifu na Utekelezwaji WA sera ya maswala ya Sayansi hususani eneo la Tehama.
Akizungumza kwenye Warsha ya siku Moja iliyofanyika hii Leo Agosti 5 2024. Mkurugenzi mkuu wa Tehama Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga amesema ushirikiano huu ni matokeo ya ziara yake aliyofanya Nchini humo ikiwa na lengo la kuongeza ubora na UFANISI kwenye nyanja ya hapa nchini.
Aidha Dkt mwesiga amesema kuwa Leo hii Tume ya TEHAMA umeamua kumkaribisha Mkuu WA chuo cha TUKU of university of applied science ambaye amekuja kutoa mafunzo mafupi kwa wataaalam WA ndani WA Tehama ili kuwaongezea ujuzi utakao wasaidia katika Shughuli zao za kila siku.Vilevile ameesem baada ya kufanya utafiti wamekubaliana kufanya ushirikiano na chuo hicho kwani wamekuwa Bora katika ufundishaji hususani Sekta ya Mawasiliano hasa tehema.
Kwa upande wake mkuu wa chuo cha TUKU Asturi stimam amesema wamekuwa na ushirikiano wa Zaidi ya miaka 8 na Tume ya TEHAMA Tanzania ambapo amesema ushirikiano huo umekuwa na matokeo mazuri baina ya taasisi hizo mbili.

Post a Comment