DKT MWINYI MGENI RASMI TAMASHA LA KIJANA NA KIJANI ZANZIBAR


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.

 Dkt. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuzungumza na Vijana kwenye Kongamano la *Kijana na Kijani* lililobeba Kauli Mbiu isemayo *Tunazima Zote Tunawasha Kijani* Uwanja wa New Amani Complex Zanzibar tarehe 10 Agosti, 2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi. 


Powered by Blogger.