UVCCM YASHIRIKI MATEMBEZI KATAVI


 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida ameongoza matembezi ya Vijana kutoka ofisi za CCM Wilaya Mpaka uwanja wa Azimio Mkoani Katavi Wilaya ya Mpanda.


Hii ni kuelekea kilele cha Wiki ya wazazi kitaifa ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe. Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi baada ya ziara ya kikazi mkoani humo. 


#TunazimaZoteTunawashaKijani 

#KijanaNaKijani 

#KulindaNaKujendaUjamaa 

#TunaendaleanaMama 

#Kaziinaendelee

Powered by Blogger.