AZAM KUCHELE YAZINDUA MITAMBO MIPYA YA KURUSHIA MICHEZO PAMOJA NA VAR
Kampuni ya Azam media ltd Leo hii Julai 15.2024 imezindua mitambo mipya ya kurushia matangazo mbali mbalimbali ikiwemo mpira sanjali na uzinduzi wa Chanel mpya ya Azam sports 4 HD ambayo ni mahsusi kwa ajili ya michezo na burudani
Katika uzinduzi huo Mgeni Rasmi alikuwa Waziri mkuu wa jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kasim Majaaliwa ambaye alioongoza uzinduzi huo.
Post a Comment