KAMPENI ZAZIDI KUSHIKA KASI MSATA KIWANGWA
Kampeni zinaendelea ambapo leo tumefanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara kuendelea kuomba kuungwa mkono ili kushinda Uchaguzi unakuja wa tarehe 29 Oktoba 2025.
Tumetumia nafasi hiyo kukumbushana wajibu wetu kaa viongoz wa Chama na pia kukumbusha yale mahsusi ya Ilani ya Uchaguzi katika maeneo yetu. Viongozi na wananchi wameendelea kuelimika na Kazi inaendelea.
Picha ni baadhi ya Matukio Kata ya Msata na Kiwangwa.
Post a Comment