YAS: YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI ZA "MAGIFT YA KUGIFT" WIKI YA TANO WANAWAKE WATIA "FORA" WA 3 KILA MMOJA AKIONDOMA NA MIL 1
Na. Jumanne Magazi
Kampuni ya Mawasiliano ya Yas Tanzania Leo hii Desemba 13 2024, imekabidhi zawadi kwa washindi wa 3 PROMOSHENI ya "Magift Kugift"
Balozi wa "Magift ya Kugift" Kutoka Yas Haji Sunday manara akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washindi mbalimbali wa zawadi hizo kwa wiki ya 5 sasa.
Kampuni ya YAS TANZANIA imekuwa Ikiendesha promosheni hiyo ambapo hadi sasa kiasi cha Shilingi Zaidi ya mil 60 zimeshatolea zikienda sambamba na zawadi zingine zikiwemo simu za mkononi
Post a Comment