SAFINA MGALA WA KINONDONI AONDOKA NA MIL 10 ZA "MAGIFT YA KUGIFT" WIKI YA 5 KUTOKA MIXX BY YAS NA YAS
Na. Jumanne Magazi
13.12.2024
Dar es salaam
Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hiyo mshindi huuo, Mkurugenzi wa Yas Tanzania kwa mkoa WA Dar es salaam, Aidan Komba, amesema hii ni droo ya 5 kati ya 12, ambayo inaendeshwa na kampuni hiyo.
Aidha Komba amefafanua Zaidi jinsia ya kushiriki kampeni hiyo ya Mixx by Yas ambapo amesema Mteja anachotakiwa kufanya miamala mara kwa mara ikiwemo kununua vifurushi, kulipa pili pamoja na mambo mbali sambamba na kulipa bili zinazofanywa na Mixx by Yas.
Kwa upande mshindi wa wiki ya Tano bi Safina Salasi Mgala mkaazi, amesishukuru Yas kwa kumzawadia, zawadi hiyo, ambapo ameelelezea jinsia alivyoweza kushinda zawadi hiyo na jinsi alivyo ibuka mshindi ambapo amesema amekuwa akifanya miamala baada ya kununua bidhaa mbali mbali kupitia Mtandao wa Yas na Mixx by Yas.
Katika hatua nyingine Mkurugenzi vaKomba amesema kuwa hadi sasa wamesema wao kama Yas wamekuwa Wakitoa huduma Nchini Tanzania hivyo, ameitaka jamii kuchangamkia fursa hiyo kwa kushiriki kampeni hiyo ambapo mshindi wa jumala anataraji kujishindia zawadi kwa kufanya miamala hivyo, amewataka wateja kuendelea kutumia huduma ya Mixx bya

Post a Comment