AIR FRANCE KLM: ZUNUFAISHA SHULE ZA MSINGI KILIMANJARO
(pichani)
(Pichani)
Rajat Kumar, Meneja shirika la ndege la ufaransa la Air France-KLM Nchini Tanzania akimvalisha begi mmoja ya mwanafunzi waliopata msaada wa mikoba ya shule 72 mkoani Kilamanjaro hivi karibu.
(Pichani)Meneja masoko na Afisa uhusiano na habari WA AirFrance-KLM's , Alpina Muhati, akimkabidhi mmoja ya mwanafunzi WA shule ya msingi ya Kilimanjaro International Airport Primary School iliyopo mkoani Kilimanjaro ,kama sehemu ya kusaidia juhudi katika Sekta ya Elimu.
picha ya pamoja ya kundi la waendesha baiskeli Kutoka Nchini Kenya, baada ya kuimaliza safari ya siku 4,Kutoka Nairobi Kenya hadi Kilimanjaro Tanzania wakiwa na mikoba ya shule (72) Kutoka Taasisi ya eco-friendly iliyotengenezwa, na waendesha baiskeli Air France-KLM billboards.
Post a Comment