PATRICK RWESHAMBULA: ANYAKUWA PIKIPIKI PROMOSHENI YA VUNA NA MIXX BY YAS

Patrick Rweshambula, mkulima wa kahawa kutoka Kagera, akikabidhiwa pikipiki kama moja ya zawadi kuu katika promosheni ya Vuna na Mixx by Yas
Angelica Pesha, Afisa Mkuu wa Mixx by Yas, akishirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwasa.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwasa. Wakishuhudia ni Abdillah Luholela, Kaimu Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Ziwa, na DAS wa Karagwe, Nichson Frank.





Powered by Blogger.