JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA ILALA YAFUNGA MWAKA KWA KUFANYA BARAZA ZA KAWAIDA UKUMBI WA ANAUTOGLO HII LEO
Akifunguwa Baraza hilo Mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi Taifa kutoka Mkoa wa Dar-es-Salaam na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ccm Mkoa wa Dar-es-Salaam Comred Sudi Kasim Sudi aliwapongeza Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya ilala kwa Kushikamana kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi kinashinda na kushika Dola.
Aidha ameeleza kuwa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya ilala ndiyo Jumuiya iliyofanya Mkutano Mkuu wa Kawaida kwa Mujibu wa Kanuni ya Wazazi na Kupelekea Chama Cha Mapinduzi Kushinda kwa Kishindo.
*Akizungumza kwenye Baraza hilo Katibu wa ccm Wilaya ya ilala Na Mlezi wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi ccm Comred Chief Sylvester Yaredi aliwapongeza Jumuiya ya Wazazi Wilaya kwa kutimiza Majukumu yake kikamilifu na KUFANYA BARAZA LA KUTATHIMINI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA SAMBAMBA NA KURA ZA MAONI.*
i nk.
AIDHA Ameitaka Jumuiya ya Wazazi kwenye Kata na Matawi kufanya kazi zake kwa kufuata Kanuni na Miongozo ya Chama Cha Mapinduzi kwa kila Kiongozi kutimiza Wajibu wake kikamilifu na kutolea Mfano Makatibu wa Elimu,Malezi na Mazingira kwenye MatawiKata na Wilaya kufanya Kazi kwa Kusimamia:-1-Maadili ya Watoto Mashuleni,Mitaan
3-Kutekeleza Majukumu ya kusimamia Mazingira Afya kwenye Maeneo yanayotuzunguka.
*Katika Kikao hicho kilichokuwa kikiongozwa na Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya ilala Comred Mohamed Ramadhani Msophe Wajumbe walichangia na kufanya Tathimini ya Uchakuzi kwa kupitia Kata moja baada ya nyingine na kutoa Mawazo yao ni namna gani ya Kuendelea kukisaidia Chama Cha Mapinduzi ccm katika maeneo yetu.*
Post a Comment