JOTO LIMEONGEZEKA DUNIANI, MVUA ZA VULI KUWA ZA WASTANI KUENDELEA HADI APRIL MWAKANI:TMA

Na JUMANNE MAGAZI 
31.10.204

Mamlaka ya hali ya hewa Nchini (TMA) imetangaza muelekeo wa msimu WA mvua za vuri ambazo zimeanza mwen November ambazo zitaishia mwezi April mwakani.

Akizungumza na Waandishi wa habari hii Leo Oktoba 31 2024, Kaimu Mkurugenzi mkuu wa malaka hiyo, Ladislaus Changa amesema kutokana na mabadiriko ya hali ya mifumo ya hali ya hewa hali ya mvua Nchini inaonekana kupungua ambapo mvua katika maneno mengi ziitakuwa chini ya wastani.
“ Kwa mujibu wa mabadiriko ya hali ya hewa mifumo mingi inaonyesha joto Duniani kwa asilimia 1.01 ukilinganisha na mwaka 2023, jambo ambalo linasababisha joto kuongezeka kwenye usawa wabahari hususani maeneo mengi ya Kusini mwa bahari ya hindi.

Msimu wa Vuli kwa miezi ya Oktoba hadi Disemba, 2024 katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka (Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, kaskazini mwa mkoa wa Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na Zanzibar (visiwa vya Unguja na Pemba)) utabiri wake ulitolewa tarehe 22 Agosti, 2024. Mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zilitarajiwa katika maeneo mengi ya pwani ya kaskazini na nyanda za juu kaskazini mashariki. 

Aidha, kwa maeneo ya kanda ya Ziwa Victoria mvua zilitarajiwa kuwa za Wastani hadi Chini ya Wastani. 

Msimu wa Vuli, 2024 ulitarajiwa kutawaliwa na vipindi virefu vya ukavu na mtawanyiko wa mvua usioridhisha.
 
Aidha, mvua hizo zilitarajiwa kuanza kwa kusuasua wiki ya nne ya mwezi Septemba, 2024 katika ukanda wa Ziwa Victoria na kusambaa katika maeneo mengine yanayopata mvua za Vuli kati ya wiki ya pili na ya tatu ya mwezi Oktoba, 2024. 

Mvua hizo zimeanza katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa Ziwa Victoria na pwani ya kaskazini kama ilivyotabiriwa. Hata hivyo, maeneo ya nyanda za juu kaskazini mashariki yameendelea kutawaliwa na vipindi virefu vya ukavu. 

Aidha, utabiri wa mvua za Vuli unatarajiwa kuendelea kama ulivyotabiriwa. 
hewa Nchini (TMA) imetangaza muelekeo wa msimu WA mvua za vuri ambazo zimeanza mwen November ambazo zitaishia mwezi April mwakani.
Akizungumza na Waandishi wa habari hii Leo Oktoba 31 2024, Kaimu Mkurugenzi mkuu wa malaka hiyo, Ladislaus Changa amesema kutokana na mabadiriko ya hali ya mifumo ya hali ya hewa hali ya mvua Nchini inaonekana kupungua ambapo mvua katika maneno mengi ziitakuwa chini ya wastani.

“ Kwa mujibu wa mabadiriko ya hali ya hewa mifumo mingi inaonyesha joto Duniani kwa asilimia 1.01 ukilinganisha na mwaka 2023, jambo ambalo linasababisha joto kuongezeka kwenye usawa wabahari hususani maeneo mengi ya Kusini mwa bahari ya hindi.

Msimu wa Vuli kwa miezi ya Oktoba hadi Disemba, 2024 katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka (Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Dar es Salaam, kaskazini mwa mkoa wa Morogoro, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na Zanzibar (visiwa vya Unguja na Pemba)) utabiri wake ulitolewa tarehe 22 Agosti, 2024. 

Mvua za Chini ya Wastani hadi Wastani zilitarajiwa katika maeneo mengi ya pwani ya kaskazini na nyanda za juu kaskazini mashariki. 

Aidha, kwa maeneo ya kanda ya Ziwa Victoria mvua zilitarajiwa kuwa za Wastani hadi Chini ya Wastani. 

Msimu wa Vuli, 2024 ulitarajiwa kutawaliwa na vipindi virefu vya ukavu na mtawanyiko wa mvua usioridhisha.
 
Aidha, mvua hizo zilitarajiwa kuanza kwa kusuasua wiki ya nne ya mwezi Septemba, 2024 katika ukanda wa Ziwa Victoria na kusambaa katika maeneo mengine yanayopata mvua za Vuli kati ya wiki ya pili na ya tatu ya mwezi.

Powered by Blogger.