TIGO ZTE WAZINDUA SIMU JANJA ZTE A35

Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Tigo ikishirikiana na ZTE Leo hii Septembea 10 2024, imezindua toleo jipya la simu janja aina ya ZTE A35.


Akizungumza na Waandishi wa habari Afisa mkuu Biashara Isaack Nchunda amesema simu hiyo inapatikana Tanzania nzima ambayo inamuewesha mteja kupata Kasi na RAM kubwa Zaidi kutosha ikiwa na betri unatoka muda mrefu yenye ukubwa WA MaH5000, ambayo inaendana na Mazingira ya kitanzania, pamoja na kunufaika na huduma ya simu hiyo mpya na ya kijanja.
Aidha isack Amesema uzinduzi WA simu hiyo ni muendelezo wa kampeni Yao ya "SAKOKWA BAKO" ambayo imekuwa ikibamba Nchini hivi sasa.
" Tunawataka watanzania kote kujitokeza kwenye maduka yetu kujipatia simu hizi ambazo zinapatikana kwa wingi kwa malipo ya mpango kwa Shilingi e 60 000/=  muda wa miezi 6" lakini UTAPATA kwa 35000 na 600 kwa siku"

Nchunda amesema  ni  ukweli usiopingika kuwa tuliowazinkuwa Tigo Tanzania ndio mtandao.

Kwa upande wake Muwakilishi WA kampuni ya ZTE Tanzania 

Kwa upande wake Muwakilishi WA kampuni ya ZTE Tanzania Bw Morey Zhong, amesema wamekuwa na ushirikiano mkubwa na tigo hivyo ni furaha kubwa kwao kuzindua simu hiyo ambayo amesema Ina uwezo mkubwa na itakuwa faraja kubwa kwa watanzania ambao amewaomba kufika kwenye maduka ya tgo kujipatia Simu hiyo.


 

Powered by Blogger.