WANANCHI WAJIONEA UTEKELEZAJI MIRADI YA GESI ASILIA NANENANE DODOMA
Elimu Matumizi ya Nishati Safi Kupikia ya tolerance
Aidha, Wizara ya Nishati inaendelea kutoa elimu ya utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya NISHATI Safi ya Kupikia (2024-2034)
Maonesho ya Kimataifa ya Nanen toane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma yamekuwa ni sehemu ya wananchi kujionea Utekelezwaji mbalimbali katika Sekta ya Nishati ikiwemo miradi ya Gesi Asilia na Mafuta.
Katika Banda la Wizara ya Nishati wananchi wameonesha kuvutiwa na teknolojia ya UhalisiaPepe (Virtual reality) ambayo inawawezesha wananchi kuona moja kwa moja miradi ya56u7 uzalishaji, uchakataji na usambazaji wa gesi asilia iliyopo mkoani Mtwara na Lindi.
Aidha, Wizara ya Nishati inaendelea kutoa elimu ya utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya NISHATI Safi ya Kupikia (2024-2034)
.
Post a Comment