RAIS SAMIA AFANYA MABADIRIKO MADOGO NA KUTEUWA MAWAZIRI, MWANASHERIA MKUU, NA KUWABADILISHA WAKUU WA WILAYA NCHINI
Riasi WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo mawazili manaibu makatibu WA kuu WA wizara, sambamba na wakuu WA mikoa.
Katika uteuzi huo Rais amemteuwa PROFESA Paramagamba John Kabudi kuwa Waziri WA Sheria na katiba akichukua nafasi ya mhe Pindi hazara Chana ambaye alikuwa akishikiria nafasi hiyo.
Rais pia amemteuwa Mheshimiwa Wiliam Vangimembe Lukuvi kuwa Waziri wa Waziri WA nchi Ofisi ya Waziri mkuu sera bunge na uratibu.
BALOZI Dkt Pindi Hazara Chani ameteuliwa kuwa Waziri WA Maliasili na utalii, ambapo awali alikuwa Waziri WA Sheria na katiba akichukua Nafasi ya Angela Jasmine Kailuki ambaye ameteuliwa kuwa mshahuri WA RAIS.
RAIS SAMIA pia amemteuwa Bw Hamza Johari kuwa mwanasheria mkuu WA Serikali kabla ya hapo Johari alikuwa Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usafiri WA Anga TCCA, ambaye amechukua nafasi ya Jaji Dkt Elieza Mbuki Fereshi ambaya ameteuliwa kuwa Jaji mkuu wa mahakama ya Rufani.
Post a Comment