MNASI AUPIGA MWINGI,AIBUKA KIDEDEA KWA MAPATO KILIMANJARO
Halmashauri ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imeongoza mkoa wa Kilimanjaro kwa Halmashauri zilizoongoza kwa ukusanyaji mkubwa wa mapato. Kwa mafanikio makubwa Siha inayozidi kupata, Madiwani wa Siha wamemtunuku zawadi Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt.
Haji Mnasi kwa kazi kubwa anayoifanya kufanikisha mafanikio haya.
Haji Mnasi kwa kazi kubwa anayoifanya kufanikisha mafanikio haya.
Post a Comment