MHANDISI TARURA ILALA: AKAGUA MRADI BARABARA YA KM 4 SADALA ZAVARA

Na Jumanne Magazi 

14.06.2026

Dar es salaam 

Mhandisi kutoka wakala wa serikali unaosimamia ujenzi, matengenezo na maendeleo ya barabara za wilaya, mijini na vijijini nchini Tanzania. Tarura, Bw. Fadhiri Sadala, amesema ameridhika na Kasi ya ujenzi wa box caravati lililopo eneo la kwa masista zavara.

Ameyasema hayo hii leo Juni 14, 2026, wakati alipofanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ikiwemo upanuzi na uchongaji wa Barabara ya kilometa 4 kutoka Sadala Hadi zavara kwa masista, 

Mhandisi Sadala amesema wao kama TARURA wameridhika na Kasi ya mkandarasi msimamizi na kuwa wanaimani atakamilisha ujenzi ifikapo mwezi Julai mwaka huu,

Mradi wa ujenzi wa box caravati ulianza kujengwa mwishoni mwa mwezi January 2026, na inatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 14 mwaka huu.

Katika hatua nyingine Diwani wa Kata ya Buyuni Mh Jesca Mahamoud Msolla amemshukuru Mhandisi mshahuri huyo kutokana na usimamizi na maelekezoMradi wa ujenzi wa box caravati ulianza kujengwa mwishoni mwa mwezi January 2026, na inatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 14 mwaka huu.

 yake kwa wakandarasi jambo lililopelekea ujenzi huo kwenda haraka na kwa wakati


Aidha Diwani Jesca amemshukuru Serikali akiwemo mkuu wa wilaya ya Ilala, Mkurugenzi WA halimashahuri ya jiji, Nsgy Heriuruma Mabelya ambaye kwa kiasi kikubwa amesaidia kupatikana KWA fedha za miradi huo

Vilevile Diwani huyo amemshukuru Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza KWA vitendo ilani ya chama Cha mapinduzi lakini kuwa na moyo WA kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania ikiwemo wananchi wa kata ya Buyuni amesema Diwani Jesca Motto.

 na Kasi ya ujenzi wa box caravati lililopo eneo la masista zavara 


Vilevile Diwani huyo amemshukuru Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza KWA vitendo ilani ya chama Cha mapinduzi lakini kuwa na moyo WA kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania ikiwemo wananchi wa kata ya Buyuni amesema Diwani Jesca Motto.


 

Powered by Blogger.