JAMII YAASWA KUSAPOTI VIJANA KWENYE MICHEZO KUWAINUA KIUCHUMI: NGATICHE
Na Jumanne magazi
15.02.2026
Dar es salaam
Jamii nchini imeaswa,kusaidia vijana wenye vipaji nchini ili kuwainua kiuchumi kipitia vipaji vyao vya michezo. Mbalimbali ikiwemo soka.Hayo yamesemwa na Diwani wa kata ya kinondoni CCM Idrissa Said Ngatiche, wakati akikabidhi zawadi kwa washindi kwenye bonanza la Adelante lililofanyika Leo jumapili February 15,2026, katika viwanja vya Leaders club kinondoni jijini dar es salaam.
Katika hatua nyingine Diwani Idrissa Ngatiche ameiasa jamii kupenda kushiriki michezo kwa lengo la kuhimarisha afya zao,ili kuepuka magonjwa hatarishi yakiwemo Yale yasio ya kuambukizwa





Post a Comment