NYANSAHO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA

Na Mwandishi wetu

Manyoni

Singida

Jan 22,2026

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga, katika ziara yake katika Makao Makuu ya Kamandi ya Jeshi la Akiba alitembelea pia Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Utawala la Kamandi hiyo ambao umefikia asilimia 75 na unatarajiwa kukamilika hivi karibuni.

Powered by Blogger.