HIZI HAPA BEI MPYA ZA MAFUTA YA PETROLI, DIZELI NA MAFUTA YA TAA ZILIZOTANGAZWA NA EWURA KUANZIA LEO

Na Mwandishi wetu 

Jan 07.2026

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo mpya za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazoanza kutumika nchini kuanzia leo Jumatano, januari 7,2026 zikionesha mabadiliko mbalimbali kulingana na bandari na aina ya bid

haa.



 

Powered by Blogger.