TANESCO YAOKOA BIL 200 BAADA YA KUBAINI WIZI WA UMEME KWENYE KIWANDA MKURANGA

Mpango wa kudhibiti mapato ya Serikali yanawezekana

Yaahidi zawadi nono kwa wananchi watakao toa taarifa za wahujumu kupitia mfumo wa Whistleblower 


Ndugu zangu, hii kazi si ndogo. Nataka mfanye kazi usiku na mchana kuhakikisha inakamilika kwa wakati. Haipendezi kufanya kazi kwa presha dakika za mwisho, hasa ikizingatiwa sababu za msingi za utekelezaji wa mradi huu zinajulikana. Hakutakuwa na sababu ya kuomba muda wa nyongeza," amesisitiza Bw. Twange.

Kwa upande mwingine, mradi wa njia ya kusafirisha umeme yenye urefu wa kilomita 16.5 umefikia asilimia 28.4 hadi sasa ambapo ujenzi wa misingi 13 kati ya 26 katika kipande cha kutoka Ubungo hadi Ilala kupitia Mabibo tayari umekamilika.
Kukamilika kwa mradi huu kunatajwa kusaidia  kwa kiwango kikubwa kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa umeme kutoka Kinyerezi hadi Mabibo jambo litakalopelekea kuimarika kwa  uwezo wa kituo cha Ubungo sambamba na kuboresha upatikanaji wa umeme katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.

Powered by Blogger.