MWAKAGENDA AENDELEA NA ZIARA YAKE NYANDA ZA JUU KUSINI
Mjumbe wa kamati ya ushindi ya chama cha mapinduzi UWT katika mikoa ya nyanda za juu kusini ambaye pia ni mbunge mstaafu Mhe.Sophia Mwakagenda ameendelea na ziara katika kata ya Itaka kwa kumnadi Diwani wa kata hiyo Mhe.Allan Mgulla katika kutafuta kura za Rais, Wabunge na madiwani katika mikoa ya Njombe, Mbeya na Songwe ikiwa ni ziara zake za kuanzia Vitongoji kata ya kamleni hadi jimbo la Rungwe ili kukipa ushindi chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Post a Comment