KISHINDO CHA SAMIA CHATUA IRINGA HAKIKA MAFURIKO MAMIA WAJITOKEZA KUMLAKI,KUMSIKILIZA
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Iringa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
Post a Comment