SHIRIKISHO LA FILAMU LAINGIA MKATABA KUFUNGUA MILANGO MASOKO YA FILAMU A.MASHRIKI
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw Rajabu Amiry akiwa na marais na viongozi mbalimbali wa mashirikisho na vyama vya “Filmmakers” ktk nchi nane za Africa. Baada ya vikao vya siku tatu Kampala Uganda tumesaini MOU kwa lengo kufungua mlango mwingine masoko ya Filamu (Sream East)
Rais amesema baada, Mikutano hiyo SHIRIKISHO Hilo litakwenda kungua Milango kwa watengeneza filamu nchini ili kuweza kupata masoko ndani ya jumuiya ya Africa mashariki, ambapo soko nikubwa ukilinganisha na hapa nchini.

Post a Comment