MJUMBE WA MKUTANO MKUU TAIFA,QS MHONDA: ASHIRIKI MKUTANO WA WAGOMBEA CCM JIMBO LA KINONDONI
Na Mwandishi wetu.
Jumanne Magazi
7.07.2025
Dar es salaam
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa aliyemaliza Muda wake kuwakilisha Wilaya ya Kinondoni (Jumuiya ya Wazazi CCM), pia Mmilliki wa makampuni ya “QS Mhonda J Apex Group of Companies Ltd” pia tena ni mfadhiri wa Wanamuziki na Wasanii mbalimbali ndugu Qs Mhonda Joseph akiwa mmoja wa wahudhuriaji wa mkutano ambao umekusanya wagombea wote wa udiwani na ubunge wa majimbo ya kinondoni na kawe akiwa kama mmoja wa watia nia ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la kinondoni.
Post a Comment