TAARIFA ZA EWURA NI KIOO CHA KUJIPIMA NA KUJITATHMINI-BITEO

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko(Mb), ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa kuandaa Taarifa za Maendeleo ya Sekta ya Nishati( umeme, petroli na gesi asilia ) nchini, na kuleza kuwa taarifa hizo ni kioo cha kujipima na kutathmini ufanisi wa utendaji wa sekta hiyo katika kuwahudumia wananchi na watoa huduma.

Dkt Biteko ametoa pongezi hizo wakati wa hafla ya kuzindua taarifa hizo, iliyofanyika jijjni Dodoma, Aprilli Machi, 2025. 

 

Powered by Blogger.