NITATOA USHIRIKIANO KWA VYAMA VYOTE VYA SIASA: CHALAMILA

Na Jumanne Magazi 

17.04.2025

Mkuu wa mkoa wako wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ofisini yake iko tayari kutoa ushirikiano kwa Taasisi zote kuhusu wakati huu Taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi October mwaka huu.

Ameyasema hayo hii Leo April  17 2025 wakati alipokuwa akiongea na vyombo vya habari Jijini dar es salaam.

Amesema katika katika kutekeleza falsafa ya Mh. Rais DKT, Samia Suluhu Hassan ambapo zimeanza kuonyesha kuleta mafanikio kwa Taifa, ambapo swala la kuridhiana kwa kupeana na haki na usawa. 


 Amesema Taasisi zote zile ziwe za vyama  siasa, na mashirika yasio ya kiserikali ambapo amesisitiza ofisini yake ipo tayari kutoa ushirikiano kwa Taasisi YOYOTE itakayohitaji msaada wowote Kutoka ofisini yake

Powered by Blogger.