YAS NA SAMSUNG WAZINDUA SIMU MPYA “SUMSUNG S25 IKIWA NA GB 96
Na Jumanne Magazi
Kwa upande wake Meneja huduma za ziada ya Yas Bi.Ikunda Ngowi amesema wao kama Yas wanayofuraha kushirikiana na Samsung kupitia bidhaa zao ambapo wao kunogesha uzinduzi huo wameamua kutoa 96 kwa mwaka.
18.2.2025
Dar es salaam
Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi ya Yas ,pamoja na Samsung Tanzania zimezindua simu mpya aina ya S25 ambayo imekuja na teknolojia ya akili mnemba.
Makubaliano hayo yamefanyika Leo Februari 18 2025,jijini dar es salaam ambapo mbali na mambo mengine simu hiyo imekuja na mfumo WA akili mnemba yaani Artificial intelligence (AI)
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo,Mkuu WA kitengo cha simu za mkononi WA Samsung,Mgope kiwanga amesema wao kama Samsung wanayofuraha kutambulisha bidhaa hiyo hapa nchini ambapo kupitia simu hiyo watanzania wanaweza kuona mabadiriko makubwa kupitia simu hizo.Aidha mgope amesema mbali na toleo Hilo la S25 pia Kuna matoleo mengine mawaIi ambayo ni Samsung ultra na base ambapo kila Moja itakuwa na waranti ya mwaka mmoja,ambapo kupitia ushirikiano huo na Yas mteja atapa mambo mazuri ikiwemo kupata Gb96 Kutoka YaS Tanzania amesema mgope.Kwa upande wake Meneja huduma za ziada ya Yas Bi.Ikunda Ngowi amesema wao kama Yas wanayofuraha kushirikiana na Samsung kupitia bidhaa zao ambapo wao kunogesha uzinduzi huo wameamua kutoa 96 kwa mwaka.
Amaese Yas ambayo zamani ilikuwa ikijulikana kama TIGO,wamekuwa washirika na wadau wakubwa kampuni za bidhaa za simu hivyo Yas inajivunia kuwa sehemu ya uzinduzi vwa Samsung 25 na nyinginezo.
Post a Comment