WAJASIRIAMALI WA SAMAKI NA MITUMBA WAIBUKA WASHINDI WA MIL1 YA MAGIFT YA KUGIFT DROO 9


Na. Jumanne Magazi 

10 .1.2025

Kampuni ya Mawasiliano ya Yas Tanzania Leo hii Januari 10, 2025, imekabidhi zawadi kwa washindi wa 3 Promosheni ya "Magift Kugift hii ikiwa ni droo ya 9.

Balozi wa "Magift ya Kugift" Kutoka Yas Haji Sunday manara akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washindi mbalimbali wa zawadi hizo kwa wiki ya 9 sasa.

Kampuni ya YAS Tanzania imekuwa Ikiendesha promosheni hiyo, kwa muda WA wiki 12 ambapo hadi kufikia Leo zaidi ya kiasi cha Shilingi Zaidi ya mil. 260 zimeshatolewa zikienda kwa washindi mbalimbali sambamba na zawadi hizo zikiwemo simu za mkononi.
Kwa upande wake mmoja wa washindi wa milioni Moja 1 wa wiki hii Halima Said Key anayejishughulisha na Biashara  ya Mitumba amesishukuru Yas kwa kuchezesha kampeni hiyo kwani imekuwa ikisaidia kuwapatia zawadi wateja wake ikiwemo pesa taslimu na zawadi nyingine.

Naye Bi. Rehema Maarifa Salum ambaye ni Mhasiriamali wa Samaki Chamazi mbande, amesema yeye ameibuka mshindi na hatimaye kipigiwa simu baada ya kufanya miamala mara kwa mara jambo lililopelekea kuibuka mshindi hivyo amewataka watanzania wengine kutumia mtandao wa Yas Tanzania kwani ni mtandao wenye huduma Bora na pia
Yas ikishirikiana na kitengo cha Mixx by Yas imekuwa Ikiendesha PROMOSHENI ya Magift ya Kugift ambapo wateja na washiriki wamekiri kuwa ni ya ukweli na uwazi na kuwa kila mtu anaweza kushida.

Kwa upande wake Meneja wa Wateja maalum kutoka Mixx by Yas, Mary Lutha amewapongeza washindi WA Magift ya Kugift WA wiki hii ya sita ambapo ametumia hafla hiyo kuwataka wateja wengine WA Mixx by Yas pamoja na Yas Tanzania kuendelea kushiriki Promoshe hiyo kwani kila mmoja ana fursa ya kujishinda zawadi hizo.
Aidha Rutta amesema wao kama Yas wanatambua ugumu unaopatikana kwenye mwezi huu wa January kwa watanzania hususani wazazi hivyo kampuni Yao imekuwa ikiwezesha kwa kuwapa fedha na zawadi mbalimbali ilikuwakwamua katika kipindi hiki 

Kampuni ya Mawasiliano ya YAS inaendeshwa kampeni Promosheni hiyo, ambapo mshindi wa jumla anataraji kuondoka na zawadi ya gari aina ya Kia Sorante 0.kilometa wakati mshindi mwingine ataondoka na donge nono la Shilingi mil 50 katika droo siku ya mwisho.

Powered by Blogger.