VIJIJI VYOTE ELFU 12 NCHINI KUFIKIWA UMEME MWISHONI MWA MWAKA HUU: WIZARA NISHATU
1. Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zinazofanya vizuri katika sekta ya nishati, ambapo hadi kufikia mwezi Disemba 2024, uzalishaji umeme kwa Tanzania bara ulikuwa umefikia Megawati 3, 169.20; upatikanaji wa umeme umeongezeka kutoka asilimia 14 mwaka 2011 hadi asilimia 78.4 mwaka 2020. Kufuatia Mpango wa Usambazaji Umeme vijijini (REA), takriban vijiji vyote nchi vimefikiwa.
2. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuwa kinara wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Amefanya hivyo kwenye majukwaa mbalimbali ya kimataifa, ikiwemo COP 27, 28 na 29, Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati Safi ya Kupikia (May, Paris), Mkutano wa G20 (Nov, Rio de Janeiro).
3. Tanzania ina mikakati kabambe ya kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika, endelevu na wa gharama nafuu kwa wote hadi kufikia asilimia 75 ifikapo mwaka 2030 na asilimia 80 hadi ifikapo 2034 kwa upande wa nishati safi ya kupi
kia.
Post a Comment