TANZANIA YA SHIRIKI MKUTANO WA NISHATI JADIDIFU
Baadhi ya wajumbe wa baraza la 15 la Wakala wa kimataifa wa nishati Jadidifu IRENA wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa baraza Hilo leo Januari 12, 2025 Abu Dhabi, Falme za Kiarabu
ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu Dkt Khatibu Kazungu kwenye ufunguzi wa baraza la 15 la IRENA Abu Dhabi.
ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu Dkt Khatibu Kazungu kwenye ufunguzi wa baraza la 15 la IRENA Abu Dhabi.
Post a Comment