Pondeza Foundation Yachangia Mamilioni Kwa Watoto Yatima


Mkurugenzi wa taasisi hiyo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Chumbuni Mhe. Ussi Salum Pondeza amesema msaada huo unakwenda kuwasaidia watoto hao ili wajione kuwa wanathaminiwa kama watoto wengine huku akiahidi kuendelea kusaidia watu wa makundi mbalimbali katika jamii.

Hafla ya kuwachangia watoto yatima iliandaliwa na Taasisis ya TAQWA Orphans Trust Tanzania na mgeni rasmi alikuwa Katibu mkuu Kiongozi na katibu wa baraza la Mapinduzi Zena Ahmed Said.

Disemba 2024

🍭 Madinat El Bahri

Powered by Blogger.