TIGO YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA RUANDANZOVWE, MBEYA


Mkurugenzi uendeshaji,Tigo Pesa, Arnold Ngarashi,akimpa mteja elimu kuhusu huduma ya simu za mkopo,katika wiki ya maadhimisho ya huduma za kifedha, Ruandanzovwe, Mbeya.Maadhimisho hayo yanalenga kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya huduma rasmi za fedha pamoja na kuongeza mchango wa Sekta ya Fedha

Powered by Blogger.