BITEKO KIKAONI UGANDA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Mwenyekiti wa Mawaziri wa Nishati (Eastern Africa Power Pool) ambae pia ni Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini wa Uganda Mhe. Dkt. Ruth Nankabirwa Ssentamu wakati wa kikao cha 19 cha Mawaziri wa Nishati kinachoendelea nchini Uganda
Post a Comment