AMANA MARATHON YAFANA DKT MOREL,MBUNGE NTATE WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUHIMARISHA SEKTA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO
Akizungumza wakati wa mbia za hisani zilizoandaliwa kwa pamoja kati ya Hospitali ya Mkoa Amana pamoja na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa WA Dar es salaam.
Morel amesema Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ameboresha Mazingira ya afya, hususani afya mama na mtoto.Awali akimkaribisha Mgeni Rasmi mkuu wa Mkoa WA dar es salaam Albert chalamila amesema mbio za Amana Marathon ni kielelezo cha kuona umuhimu wa jamaii kujitokeza kuchangia fedha ili kusaidia Kuokoa maisha ya watoto njiti ambao ano wahaki ya kuishi hivyo ameiomba jamii kushirikiana kusaidia juhudi Serikali katika kampeni zake.
Pembezoni mwa mkutano huo mbunge WA viti maalum ambaye pia ni muwakilishi wa wafanyakazi bungeni Jane Jelly Ntate ameipongeza hospitali ya Amana kwa kubuni mbio hizo ikiwa na lengo la kukusanya fedha zitakazo saidia kupata huduma za mama na mtoto.
Aidha Mheshimiwa Ametumia fursa hiyo kumshukuru RAIS Samia kwa kuendelea kusikiliza vilio Vya akina mama ambao ndio wahanga Wakubwa WA changamoto za uzazi ambapo amesema ndoto ya mama Samia siku zote ni kupunguza vifo vya mama na mtoto wakati WA kujifungua.
Vile vile ametolea mfano kuwa juzi kwenye ziara yake mkoani morogoro Rais Samia ametoa kiasi cha Zaidi ya bilioni 5 kwa ajili ya kusaidia Ujenzi wa jengo la hospitali ya Rufaa lakini akiwapa angalizo kuwa ni lazima waanze kujenga jengo la mama na mtoto.
Vile vile ametolea mfano kuwa juzi kwenye ziara yake mkoani morogoro Rais Samia ametoa kiasi cha Zaidi ya bilioni 5 kwa ajili ya kusaidia Ujenzi wa jengo la hospitali ya Rufaa lakini akiwapa angalizo kuwa ni lazima waanze kujenga jengo la mama na mtoto.Tayari Zaidi ya ahadi zimetolewa kwa ajili ya kusaidia hospitali ya Amana ili iweze kuwa na jengo au huduma za mama na mtoto njiti ambao uwitaji wake ni mkubwa Zaidi kulingana na hali ilivyo hivi sasa.
Katika hatua nyingine Mheshimiwa Ntate ameipongeza Serikali lakini pia ametoa wito kwa jamiii kuwa mambo yoote yanayofanywa na RAIS Samia ni matokeo ya uongo wale wenye maono na kufuata Sheria na utawara Bora huku akisisitiza Serikali ni Wananchi ambapo ametaka jamii kushirikiana na Serikali ili kujipatia maendeleo Yao bila kuiachia Serikali pekee.
Post a Comment